KATIBU MKUU WA NISHATI ZAMBIA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA UMEME

📌Aeleza Ushirikiano katika utekelezaji wa Mradi wa TAZA na faida zake Kikanda 📌Asifu jitihada za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Na Mwandishi Wetu,Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati nchini Zambia, Mhe. Arnold Simwaba, amesema kuwa Tanzania na Zambia zimeendelea kushirikiana katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo Mradi wa Njia ya…

Read Full News

TASHICO KUKAMILISHA UKARABATI WA MELI YA MV LIEMBA MWISHONI MWA JULAI

Na Mwandishi Wetu, KIGOMA Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inatarajia kukamilisha ukarabati wa meli ya MV Liemba mwishoni mwa Julai 2026, hatua itakayorejesha huduma muhimu za usafiri na usafirishaji katika Ziwa Tanganyika Prof. Mbarawa amesema hayo mkoani Kigoma baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa meli…

Read Full News

MADIWANI KATAVI WAAHIDI KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME

Na Mwandishi Wetu,Katavi Madiwani wa Halmashauri Madiwani Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi wamesema kwa kushirikiana na Wananchi, watahakikisha wanailinda miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO iliyopo Mkoani Katavi kwa nguvu zote ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme bila vikwazo vyoyote. Wamesema hayo Juni 27, 2026 walipotembelea Bwawa…

Read Full News

SERIKALI IMEDHAMIRIA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA – NAIBU WAZIRI SALOME

📌Imepunguza kodi kwenye vifaa vya Nishati Safi 📌Lengo ni kuwafikia wananchi wa aina zote. Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Imeelezwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka dhamira ya dhati katika kuleta mapinduzi ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia yanayoongozwa na mkakati wa taifa wa Nishati Safi ya kupikia kwa mwaka 2024-2034…

Read Full News

TASHICO KUKAMILISHA UKARABATI WA MELI YA MV LIEMBA MWISHONI MWA JULAI

Na Mwandishi Wetu,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inatarajia kukamilisha ukarabati wa meli ya MV Liemba mwishoni mwa Julai 2026, hatua itakayorejesha huduma muhimu za usafiri na usafirishaji katika Ziwa Tanganyika Prof. Mbarawa amesema hayo mkoani Kigoma baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa meli hiyo,…

Read Full News

BANDARI YA KIGOMA KUHUDUMIA TANI MILIONI MOJA ZA MIZIGO KWA MWAKA IKIKAMILIKA

Na Mwandishi Wetu,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Bandari ya Kigoma inayoendelea kuboreshwa itakuwa na uwezo wa kuhudumia tani milioni moja za mizigo kwa mwaka mara baada ya kukamilika, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara na usafirishaji wa mizigo kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Prof. Mbarawa amesema…

Read Full News