MCHANGE AHOJI: DK. NCHIMBI ANAJUA MADHARA YA KAULI ZAKE AU ANATUTEGA?
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mchambuzi wa masuala ya siasa, jamii na maendeleo, Habibu Mchange, ametoa tafakuri kuhusu utata wa kauli za mara kwa mara za Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, akisema kutokana na nafasi yake ya kikatiba kama Msaidizi Mkuu wa Rais kwa mujibu wa Ibara ya 47(1) ya Katiba ya Jamhuri ya…

