PBPA YASHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umeshiriki ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi tarehe 17 Juni 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwan Kikwete. Akizungumza…

