NIC YATOA AHUENI KWA WAKULIMA WANAOPATA MAJANGA KUPITIA BIMA YA KILIMO
Na Mwandishi Wetu, DodomaWAKULIMA na wafugaji nchini wamehimizwa kutumia bima ya kilimo na mifugo kama njia ya kujikinga dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya asili, magonjwa na changamoto nyingine zinazoweza kuvuruga uzalishaji na kipato. Wito huo umetolewa na NIC Insurance katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Dk. John…

