KIMARA STOP OVER WAANZA KUPATA MAJI, DAWASA YAELEZA MIKAKATI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wananchi wa mitaa mbalimbali eneo la Kimara Stop over, Kata ya Kimara Wilaya ya Ubungo wameanza kupata huduma ya majisafi baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kufanya maboresho ya miundombinu. Baadhi ya wananchi walioikosa huduma hiyo kwa kipindi kirefu wameipongeza DAWASA kwa jitihada…

