e-GA: MIFUMO YA KIDIGITALI YA KILIMO INAONGEZA UWAZI
Na Aziza Masoud,Dodoma SERIKALI kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) inaendelea kushirikiana na Wizara ya Kilimo katika kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali inayorahisisha utoaji wa huduma, kuongeza uwazi na kuboresha usimamizi wa shughuli za kilimo nchini. Akizungumza katika Maonesho ya Wakulima ya Kitaifa yanayoendelea jijini Dodoma, Meneja wa Mawasiliano e -GA Subira Kaswaga alisema…

