TASHICO KUKAMILISHA UKARABATI WA MELI YA MV LIEMBA MWISHONI MWA JULAI

Na Mwandishi Wetu,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inatarajia kukamilisha ukarabati wa meli ya MV Liemba mwishoni mwa Julai 2026, hatua itakayorejesha huduma muhimu za usafiri na usafirishaji katika Ziwa Tanganyika Prof. Mbarawa amesema hayo mkoani Kigoma baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa meli hiyo,…

Read Full News

BANDARI YA KIGOMA KUHUDUMIA TANI MILIONI MOJA ZA MIZIGO KWA MWAKA IKIKAMILIKA

Na Mwandishi Wetu,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Bandari ya Kigoma inayoendelea kuboreshwa itakuwa na uwezo wa kuhudumia tani milioni moja za mizigo kwa mwaka mara baada ya kukamilika, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara na usafirishaji wa mizigo kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Prof. Mbarawa amesema…

Read Full News

SABASABA YAJA KIDIGITALI ZAIDI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imesema imekamilisha maandalizi ya Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), kwa kuboresha miundombinu na kuanzisha mifumo ya kidijitali ya ununuzi wa tiketi na kuwaongoza wageni kufika katika mabanda mbalimbali, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na kuondoa msongamano wa wananchi watakaotembelea maonesho hayo. Akizungumza leo…

Read Full News

BILIONI 51 ZATUMIKA KUBORESHA UWANJA WA NDEGE KIGOMA – PROF. MBARAWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali imetumia shilingi bilioni 51 kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Kigoma, huku utekelezaji wa mradi huo ukiwa umefikia asilimia 67 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba au Novemba 2026 Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo mkoani Kigoma, leo tarehe 25 Juni, 2026 Prof. Mbarawa…

Read Full News

Spika Zungu aipongeza Serikali kwa kufanya marekebisho kwenye baadhi ya tozo na kodi 

Na Benny Mwaipaja, Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ameipongeza Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuimwagia maua yake kwa kukubali kwa dhati kufanyia marekebisho baadhi ya tozo na kodi mbalimbali zilizokuwa zinapendekezwa kufanyiwa marekebisho katika Bajeti…

Read Full News

MD TWANGE ATOA RAI KWA MAMENEJA TANESCO KUONGEZA KASI YA KUPAMBANA NA WIZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange, ametoa rai kwa mameneja wa TANESCO nchini kusimamia na kupambana kwa nguvu zote na changamoto ya wizi wa miundombinu ya umeme, ambayo imekuwa ikijitokeza katika maeneo mbalimbali ya mikoa wanayoisimamia. Bw. Twange ameyasema hayo Juni 24, 2026, mkoani Dodoma wakati akifungua Mkutano…

Read Full News