NACHINGWEA YAANZA KUNUFAIKA NA VITUO VYA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAHARIBIFU

Na Mwandishi Wetu, Lindi Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wakisema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uvamizi wa wanyamapori wakali na waharibifu, hususan tembo. Wakizungumza Aprili 13, 2025 katika mkutano wa elimu kuhusu…

Read More

MARA WARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI YA REA

Na Mwandishi Wetu,Musoma WANANCHI mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali kwa kuwafikishia miradi hiyo muhimu yenye faida kwa uchumi wa Taifa. Pongezi hizo zimetolewa na wananchi kwa Wataalam wa REA waliofika kutoa elimu kwa wananchi…

Read More

DK.MKOKO:WAAJIRI WATHAMINI TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha Televisheni cha Upendo tarehe 27 Machi, 2025, kwenye kipindi cha Wakeup Calls,…

Read More

RAIS DK.SAMIA MGENI RASMI BARAZA LA EID

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid linalotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kati ya Machi 31 au Februari Mosi kulingana na kuandamana kwa mwezi. Akizungumza leo Machi 28 mwaka 2025,kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislam (Bakwata) na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar…

Read More