REA YAING’ARISHA NISHATI SAFI EXPO 2026 DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeshiriki Maonesho na Kongamano la Nishati Safi expo 2026 yanayofanyika katika ukumbi wa Ubungo EACLC jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba. Akizungumza katika kongamano hilo leo Juni 24, 2026, Msimamizi wa miradi ya REA, Mha….

