OTHMAN AAHIDI KUFANYA MABADILIKO VISIWA VIDOGO VIDOGO UNGUJA NA PEMBA

Na Mwandishi Wetu,Pemba Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi wanaoishi katika visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar, akisisitiza kwamba Serikali yake itahakikisha kila Mzanzibari anahisi kuwa sehemu ya nchi bila kujali umbali alipo. Othman aliyasema hayo mara baada ya kuwasili Kisiwa cha…

Read Full News

DCEA YATEKETEZA KG 4,402 ZA DAWA ZA KULEVYA KWENYE KIWANDA CHA SARUJI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), jana tarehe 03 Oktoba, 2025 imeteketeza jumla ya kilogramu 4,402.02 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, jijini Dar es Salaam. Kati ya dawa za kulevya zilizoteketezwa ni kilogramu 2,168.18 za methamphetamine, kilogramu 1,064.29 za…

Read Full News