TANZANIA NA URUSI ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UCHUKUZI
Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Urusi, tarehe 03 Aprili 2026, zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha maendeleo ya miundombinu na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalisainiwa pembezoni mwa Mkutano…

