TANI 3,874,055 ZA SULPHUR ZAPITISHWA NCHINI NDANI YA MIAKA MITANO
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imesema jumla ya meli 112 zenye tani 3,874,055 za sulphur zimeingia nchini tangu mwaka 2021 ambapo sheria ya kuingiza kemikali hiyo ilipoanza kufanya kazi. Akizungumza jijink Dar es Salaam leo Julai.24, 2026 wakati wakufungua kikao cha waingizaji,wahifadhi na wasafirishaji wa kemikali aina sulphur…

