WANANCHI WAJIFUNZA KUTAMBUA UBORA WA MADINI JOTO
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wananchi wanaotembelea banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SabaSaba) wanaendelea kunufaika na elimu kuhusu matumizi ya kifaa cha Gemmological Torch, kinachotumika kutambua ubora na thamani halisi ya madini ya vito. Akitoa elimu katika banda hilo, Mjiolojia na Mjimolojia Mwandamizi…

