DK.MWIGULU AITAKA TADB KUPANUA WIGO WA MIKOPO YA WAKULIMA
Na Aziza Masoud, Dodoma WAZIRI Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupanua huduma za utoaji wa mikopo kwa lengo la kuwafikia wakulima, wafugaji na wavuvi wengi zaidi nchini ili kuweza kusaidia uwekezaji katika sekta ya uzalishaji na kuharakisha mageuzi. Dk.Mwigulu ametoa kauli hiyo jijini Dodoma katika Maonesho ya Taifa ya…

