KATIMBA:TUTUMIE NJIA ZA MAZUNGUMZO ZINALETA MATOKEO HARAKA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WIZARA ya Katiba na Sheria imewahimiza Watanzania kutumia zaidi njia za mazungumzo ambayo inasaidia kuleta matokeo haraka kwa mfumo wa maridhiano katika kutatua migogoro badala ya kukimbilia mahakamani  ambapo wanatumia muda  mrefu kukamilisha taratibu za kupata haki zao. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba…

Read Full News

WATANZANIA KUNUFAIKA NA UMEME WA UHAKIKA; MRADI WA CHALINZE–DODOMA WAFIKIA ASILIMIA 89 YA UTEKELEZAJI

📌 utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi, viwanda na shughuli za kiuchumi 📌 Wananchi wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme yenye uhakika zaidi baada ya kukamilika kwa mradi 📌 TANESCO yavunja rekodi kwa kuunganisha zaidi ya wateja laki nane mwaka 2025/26 Na Mwandishi Wetu, Morogoro Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na huduma ya…

Read Full News

UKARABATI WA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA HALE WAFIKIA ASILIMIA 83 YA UTEKELEZAJI

📌 Waziri Ndejembi amtaka mkandarasi kukamilisha ukarabati kwa wakati bila kuongezewa muda wa mkataba 📌 Kukamilika kwake kutaongeza ufanisi wa uzalishaji na kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika Mkoa wa Tanga na maeneo ya jirani Na Mwandishi Wetu, Korogwe – Tanga Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya ukarabati wa miundombinu ya umeme nchini, huku…

Read Full News

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UZALISHAJI UMEME KITUO CHA JULIUS NYERERE

📌Yasema Kituo kinachangia asilimia 45 ya umeme katika Gridi ya Taifa. 📌Yasisitiza ukamilishaji wa miradi ya njia za kusafirisha umeme ili kuwafikia wananchi. Yawapongeza wananchi kwa kuchangia ujenzi wa Kituo hicho kupitia kodi zao. Na Mwandishi Wetu,Pwank Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika…

Read Full News

KATIBU MKUU WA NISHATI ZAMBIA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA UMEME

📌Aeleza Ushirikiano katika utekelezaji wa Mradi wa TAZA na faida zake Kikanda 📌Asifu jitihada za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Na Mwandishi Wetu,Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati nchini Zambia, Mhe. Arnold Simwaba, amesema kuwa Tanzania na Zambia zimeendelea kushirikiana katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo Mradi wa Njia ya…

Read Full News