TTCL YAUNGANISHA DUNIA ARUSHA, YAWEZESHA MAWASILIANO IPU 2026
Na Mwandishi Wetu,Geita SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuonesha uwezo wake katika utoaji wa huduma za mawasiliano ya kisasa baada ya kuwezesha huduma za intaneti na mawasiliano katika Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), jijini Arusha, kuanzia Oktoba 5 hadi Oktoba…

