AFUNGWA MAISHA KWAKUFANYA BIASHARA YA HEROIN

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mahakam Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 15.19. Katika hukumu iliyotolewa Juni 1,…

Read More

DAWASA YATOA ELIMU YA UHIFADHI WA MAJI KATIKA WIKI YA MAZINGIRA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha Tanzania.” Maadhimisho hayo yanayofanyika kuanzia Juni 1 hadi 5…

Read More

MSIGWA:BWAWA LA KIDUNDA NI MRADI WAKIMKAKATI KWA MAJI KILIMO NA NISHATI

‎Na Mwandishi Wetu,Morogoro MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na uhifadhi wa mazingira nchini.‎‎Msigwa, ambaye pia ni Katibu…

Read More

Tanzania yaunga mkono mbinu mpya kifedha zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeelezea msimamo wake wa kuunga mkono mbinu za fedha za mseto (blended finance) zitakazosaidia kuimarisha sekta za usafiri wa anga na afya barani Afrika, akieleza kwamba hakuna chanzo kimoja kitakachoweza kuziba mapungufu ya miundombinu ya bara hilo. Akizungumza kama Gavana Mbadala wa Tanzania kwenye mkutano ulioandaliwa na Benki ya Maendeleo ya…

Read More

DAWASA YAFAFANUA SABABU ZA UKOSEFU WA MAJI MAENEO YA KIBAHA HADi KISARAWE

‎Na Mwandishi Wetu,Pwani ‎MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na Mtambo wa Uzalishaji Maji wa Ruvu Juu kuwa ni matengenezo makubwa yaliyolenga kuboresha na kuimarisha huduma zaidi.‎‎Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Bi. Everlasting Lyaro,…

Read More

TERENCE KUTEMBELEA VITUO VYA UTALII  ZAIDI YA VITANO BARA NA ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imempokea bondia mashuhuri  kutoka nchini Marekani  Terence Crawford ambaye atafanya ziara nchini kwa muda wa wiki moja ambapo pamoja na mambo mengine  atatembelea vituo vya utalii zaidi ya vitano vilivyopo Tjanzania Bara na Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari leo  Mei 24, 2026 Mkurugenzi Mkuu…

Read More