WANANCHI WATAKIWA KUTOTUMIA MAWE WANAPONG’ATWA NA NYOKA
Na Mwandishi Wetu,Pwani MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupitia Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu (NPCC), imewataka wananchi kuacha kutumia mawe kama njia ya kutibu madhara yanayotokana na kung’atwa na nyoka na badala yake kuwahi katika vituo vya afya ili kupata matibabu sahihi na kwa wakati. Wito huo ulitolewa na…

