JINSI TTCL INAVYOCHANGIA UCHUMI WA KIDIGITALI KUPITIA INTANETI YA BEI RAHISI
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imesema kupitia shughuli zake mbalimbali zikiwemo intaneti liimeendelea kutoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Mahusiano wa TTCL,Ester Mbanguka alisema shirika ambalo ni namna moja katika…

