WANANCHI WAJIFUNZA JINSI TEKNOLOJIA YA NYUMBA JANJA (SMART HOUSE) INAVYORAHISISHA KUDHIBITI MATUMIZI YA UMEME
📌 Mfumo wa Smart house humwezesha mtumiaji kudhibiti vifaa vya umeme akiwa popote alipo 📌 inatumia wiring za kisasa zinazoweza kuokoa nyumba na majanga ya moto sambamba na kuongeza ufanisi wa matumizi ya nishati Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wananchi wanaotembelea Banda la TANESCO katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam…

