KATIMBA:TUTUMIE NJIA ZA MAZUNGUMZO ZINALETA MATOKEO HARAKA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WIZARA ya Katiba na Sheria imewahimiza Watanzania kutumia zaidi njia za mazungumzo ambayo inasaidia kuleta matokeo haraka kwa mfumo wa maridhiano katika kutatua migogoro badala ya kukimbilia mahakamani ambapo wanatumia muda mrefu kukamilisha taratibu za kupata haki zao. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba…

