MADIWANI KATAVI WAAHIDI KULINDA MIUNDOMBINU YA UMEME
Na Mwandishi Wetu,Katavi Madiwani wa Halmashauri Madiwani Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi wamesema kwa kushirikiana na Wananchi, watahakikisha wanailinda miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO iliyopo Mkoani Katavi kwa nguvu zote ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme bila vikwazo vyoyote. Wamesema hayo Juni 27, 2026 walipotembelea Bwawa…

