SERIKALI YAJIPANGA UPYA SEKTA YA MADINI, YAFUTA LESENI 40 ZISIZOENDELEZWA

Na Asha Mwakyonde,DODOMA SERIKALI kupitia Tume ya Madini imechukua hatua ya kufuta jumla ya leseni 40 za utafutaji wa madini kutokana na wamiliki wake kushindwa kuziendeleza, katika juhudi za kuimarisha usimamizi wa rasilimali za madini nchini na kuhakikisha zinawanufaisha Watanzania kwa tija. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa…

Read Full News

PROGRAMU YA ‘SEMA NA WAZIRI’ YAFICHUA MAZITO

Na Asha Mwakyonde, DODOMA WANANCHI wengi nchini wameendelea kujitokeza kuwasilisha kero zao moja kwa moja serikalini kupitia mifumo ya kisasa ya mawasiliano, huku migogoro ya ardhi, mirathi na ukatili wa kijinsia vikitajwa kuongoza kwa wingi wa malalamiko. Hatua hiyo imechochea jitihada za serikali kuimarisha upatikanaji wa haki kwa haraka kupitia majukwaa ya kusikiliza na kutatua…

Read Full News