DAWASA YAJA NA OPERESHENI SIKU 90 KUDHIBITI UPOTEVU WA MAJI
Bwire atangaza vita mpya dhidi ya upotevu wa maji Dar na Pwani Yalenga kushusha upotevu wa maji hadi asilimia 20 Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabiliana na changamoto ya upotevu wa maji katika mikoa ya Dar…

