TERENCE KUTEMBELEA VITUO VYA UTALII  ZAIDI YA VITANO BARA NA ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imempokea bondia mashuhuri  kutoka nchini Marekani  Terence Crawford ambaye atafanya ziara nchini kwa muda wa wiki moja ambapo pamoja na mambo mengine  atatembelea vituo vya utalii zaidi ya vitano vilivyopo Tjanzania Bara na Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari leo  Mei 24, 2026 Mkurugenzi Mkuu…

Read More

DAWASA YASISITIZA MATUMIZI YA BIDHAA ZA NDANI KUIMARISHA HUDUMA ZA MAJI

Na Mwandishj Wetu,Pwani MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa na Afisa…

Read More

TTB YAMKARIBISHA BINGWA WA MASUMBWI DUNIANI TERENCE KWA ZIARA YA UTALII WA MICHEZO

Na MwandisMKURUGENZI wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano lolote. Ziara hiyo ya wiki moja nchini imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,…

Read More