DK. NCHIMBI KUZINDUA MKAKATI WA MAGEUZI YA MAZINGIRA NCHINI
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MAKAMU wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika kesho kwa niaba ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ambapo pia atazindua Mkakati wa Mageuzi Kabambe ya Usimamizi wa Mazingira nchini. Hayo yamesemwa leo Juni 4, 2026, na Waziri wa…

