TANESCO:WANANCHI MSIHOFU KUTUMIA NISHATI YA UMEME KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI
MD Twange asema TANESCO inajenga vituo vya kuchajia vyombo hivyo nchi nzima Aeleza mpango wa kusambaza majiko sanifu ya umeme takribani Mil 1 Awapongeza Wafanyakazi kwa ubunifu na jitihada za kuwahudumia wateja kwa ufanisi. Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati…

