MAKINDA:REA WAMERAHISHA MAISHA YA WANANCHI VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SPIKA wa Bunge  Mstaafu  Anne Makinda amewapongeza Wakala wa Umeme Vijijini (REA)  kwakupiga hatua kubwa yakuwasaidia wananchi kupitia ubunifu wao wakusambaza umeme vijijini pamoja na nishati safi ya kupikia   na kwamba wametoa unafuu wa maisha kwa wananchi hasa wa vijini. Makinda alitoa kauli hiyo alipotembelea  katika banda la REA waliopo…

Read Full News

TOST: USULUHISHI WA MALALAMIKO YA KODI WACHOCHEA ULIPAJI WA KODI KWA HIARI

Na Asha Mwakyonde, DAR ES SALAAM OFISI ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST) imesema inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa kushughulikia kwa haraka malalamiko yanayohusu kodi, hatua inayochochea ulipaji wa kodi kwa hiari na kuimarisha ukuaji wa uchumi wa taifa. Akizungumza Julai 2, 2026, katika Maonesho ya 50 ya…

Read Full News

DIB YALIPA BILIONI TISA KWA WALIOKUWA WATEJA WA BENKI ZILIZOFUNGWA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam BODI ya Bima ya Amana (DIB), imesema mpaka sasa jumla Sh Bilioni tisa kati ya Bilioni 11 zimeshalipwa kwa wateja waliokuwa wamehifadhi fedha katika benki saba  zilizotangazwa mufilisi na Benki Kuu ya Tanzania (BoT)   kuwasisitiza wateja kufika katika benki walizotangaziwa kuchukua fedha zao. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Biashara…

Read Full News

WAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA IAA KWA KUWAJENGEA UWEZO WA UJASIRIAMALI WAFUNGWA

Na Asha Mwakyonde, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameipongeza Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) kwa kuanzisha programu za mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara zinazolenga makundi maalumu, ikiwemo kuwajengea uwezo wafungwa wanaokaribia kumaliza vifungo vyao ili waweze kujitegemea wanaporejea katika jamii. Pongezi hizo alizitoa Julai 2, 2026, alipotembelea banda…

Read Full News

TTCL YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA VITENDEA KAZI, YAKABIDHI MAGARI SITA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kutekeleza mkakati wake wa kuboresha mazingira ya kazi kwa kukabidhi magari sita (6) mapya yenye thamani ya Shilingi milioni 903 kwa Meneja wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, Meneja wa Network Operations and Maintenance pamoja na Meneja wa Network Planning, hatua inayolenga kuongeza ufanisi…

Read Full News