-e-GA YASIFU MAGEUZI YA TANESCO KATIKA UTOAJI HUDUMA KIDIGITALI

đŸ“Œ Wavutiwa namna TANESCO inavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kutoa huduma nzuri kwa wananchi Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WATALAAM kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) wameisifu TANESCO kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia katika utoaji huduma kwa wateja, hatua iliyochangia kuongeza ufanisi na kuwahudumia wananchi kwa haraka zaidi. Wakizungumza wakati wa ziara…

Read Full News