TANZANIA SASA INA ZIADA YA MEGAWATI 2,375 ZA UMEME, KUANZA KUUZA NJE- NDEJEMBI

Na Mwandishi Wetu,Rufiji Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ni matokeo ya juhudi kubwa za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha mradi huo unakamilika na kuongeza uwezo wa Taifa wa kuzalisha umeme. Ndejembi amesema hayo leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati akizungumza…

Read Full News

ZAIDI YA 95% YA WALIOHUSIKA NA UJENZI BWAWA LA MWALIMU NYERERE NI WATANZANIA- TWANGE

Na Mwandishi Wetu,Rufiji Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Jacob Twange, amesema ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere umewezesha Watanzania kupata ujuzi na uzoefu mkubwa katika utekelezaji wa miradi mikubwa, jambo litakalowaongezea uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi. Twange amesema hayo leo Jumamosi,…

Read Full News

RAIS DK. SAMIA AWASILI JNHPP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi na viongozi wengine wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP). Rais Samia atazindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 leo…

Read Full News

WANANCHI WAFURIKA KUSHUHUDIA  UZINDUZI WA KITUO CHA KIHISTORIA CHA JNHPP

Na Mwandishi Wetu, Rufiji RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 22, 2026 anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Kutokana na umuhimu wa kituo hicho hasa katika kuendelea kuchechemu sekta ya nishati nchini  kwakupata umeme wa uhakika viongozi mbalimbali…

Read Full News