TANESCO YABAINI MATUKIO YA WIZI WA UMEME KINONDONI KASKAZINI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini matukio ya wizi wa umeme katika eneo la Visiwani, Mwananyamala na Mivumoni, zilizo Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, wakati wa operesheni ya ukaguzi wa mita na miundombinu ya umeme inayoendelea katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo. Operesheni hiyo inalenga kudhibiti matumizi yasiyo…

