WATAHINIWA 1,168,649 WA DARASA LA SABA KUANZA MTIHANI KESHO

Na Aziza Masoud ,Dar es Salaam BARAZA  la Mitihani la Tanzania (NECTA) limewataka watahiniwa 1,168,649 wa Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) mwaka 2026 unaotarajiwa kuanza kesho kujiepusha na vitendo vya udanganyifu, huku wazazi, walezi na jamii wakitakiwa kuhakikisha mtihani huo unafanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Read Full News