SAPP KUFUNGUA FURSA KWA TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARA YA UMEME KUSINI MWA AFRIKA

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MIKUTANO ya 67 ya Jumuiya ya Umeme ya Kusini mwa Afrika (SAPP) inayofanyika Zanzibar imefungua fursa mpya kwa Tanzania kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha biashara ya umeme katika ukanda wa Kusini mwa Afrika, huku ikitarajiwa kuongeza mapato ya taifa kupitia mauzo ya umeme na kuimarisha usalama wa nishati katika ukanda…

Read Full News