MHE. NDEJEMBI: MRADI WA TAZA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA KIUCHUMI MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

📍 Akagua maendeleo ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme TAZA Sumbawanga na Songwe 📍 Ataka wananchi kulinda miundombinu ya umeme iliyojengwa kwa gharama kubwa za Serikali Na Mwandishi Wetu,Rukwa MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme za Tanzania na Zambia (Tanzania–Zambia Interconnector…

Read Full News