MHE. NDEJEMBI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA UMEME IGANJO, MBEYA
📌 Ujenzi wa kituo hicho umefikia asilimia 93 ya utekelezaji 📌 Aeleza manufaa ya mradi katika kuchochea shughuli za uchimbaji madini, uwekezaji viwandani na kuongeza fursa za ajira Na Mwandishi Wetu,Mbeya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusambaza…

