UGUNDUZI MPYA WA GESI ASILIA MNAZI BAY KUONGEZA AKIBA YA GESI NCHINI – DKT. HOMERA- DKT.HOMERA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Waziri wa Nishati,Dkt. Juma Zuberi Homera amesema zoezi la uchimbaji wa visima vitatu vya gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay mkoani Mtwara limekamilika kwa mafanikio makubwa, ambapo imegunduliwa gesi asilia inayotarajiwa kuongeza kiasi cha nishati hiyo kutoka futi za ujazo trilioni 57.54 zilizopo sasa. Amesema Serikali inatarajia kuzindua visima…

Read Full News