MCHECHU AZITAKA KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE KUKUMBATIA UONGOZI WA KIMKAKATI

Na Mwandishi Wetu,Arusha MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, ametoa wito kwa wakurugenzi wa bodi na watendaji wakuu wa kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache kuachana na usimamizi wa kawaida na kuelekea kwenye uongozi wa kimkakati unaotazama mbele. Wito huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Wakurugenzi wa Kampuni ambazo Serikali ina hisa hisa chache…

Read Full News

SERIKALI YATOA MAELEKEZO NANE KUIMARISHA KAMPUNI AMBAZO ZINA UMILIKI WA HISA CHACHE

Na Mwandishi Wetu,Arsha SERIKALI imetoa maelekezo nane ya kimkakati yanayolenga kuimarisha utendaji wa kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuharakisha safari ya Tanzania kuelekea hadhi ya nchi ya kipato cha kati cha juu kama ilivyo ainishwa kwenye Dira 2050. Dira hiyo inalenga kukuza uchumi wa Tanzania kutoka ukubwa…

Read Full News

REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 5 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI

Na Mwandishi Wetu,Njombe WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha shilingi bilioni 5.4 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa maji Lupali wenye uwezo wa kuzalisha kilowati 317 unaotekelezwa na shirika la Benedictine Sisters of St. Gertrud Convent Imiliwaha. Hayo yamebainishwa leo Machi 11, 2026 wakati wa ziara ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) walipotembelea…

Read Full News