VIPENGELE 41 KUING’ARISHA TANZANIA TUZO ZA UTALII NA USAFIRISHAJI DUNIANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TANZANIA imeingiza vipengele 41 katika Tuzo za Utalii na Usafirishaji Duniani (World Travel Awards), hatua hiyo  inaimarisha nafasi yake na kukua zaidi katika sekta ya  ya utalii  na kuwa kinara barani Afrika Akizungumza leo Aprili 11,2026 jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Bodi ya Utalii Tanzania…

Read Full News

TANZANIA NA URUSI ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA UCHUKUZI

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Urusi, tarehe 03 Aprili 2026, zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uchukuzi, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha maendeleo ya miundombinu na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalisainiwa pembezoni mwa Mkutano…

Read Full News

Kihenzile akoshwa uwekezaji bandari ya Durban

Durban, Afrika Kusini.Naibu Waziri Wa Uchukuz Mheshimiwa David Kihenzile, amesema ziara ya mafunzo katika Bandari ya jiji la Durban imempa uzoefu mpana kuhusu namna uwekezaji wa kimkakati unavyoweza kuongeza ufanisi wa bandari. Akizungumza baada ya kutembelea bandari hiyo yenye takribani gati 58 zinazohudumia mizigo, magari na abiria Naibu Waziri Kihenzile amesema uwekezaji mkubwa katika miundombinu…

Read Full News

TRA KUWEKA UTARATIBU MPYA WA KUTOA VIBALI VYA KUINGIZA MAFUTA YA KUPIKIA TANZANIA BARA

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo itaanzisha utaratibu mpya wa kuingiza mafuta ya kupikia Tanzania Bara kutoka Zanzibar ili kuwezesha kufanyika kwa biashara halali ya mafuta hayo na kuzuia mafuta ya magendo kuingizwa nchini. Akizungumza na wafanyabiashara wanaoagiza mafuta ya kupikia nje ya…

Read Full News

TCB KUWAWEZESHA WATANZANIA WENYE NDOTO ZAKIUCHUMI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BENKI  ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum ya Nina Ndoto nayolenga kuwawezesha Watanzania kufikia ndoto zao kwa kuwapatia suluhisho sahihi za kifedha, hatua inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza ustawi wa jamii. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa makundi mbalimbali ya wananchi, hususan wajasiriamali,…

Read Full News

WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI WAFUNDWA,TUME YASISITIZA UTEKELEZAJI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKALI kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza utekelezaji wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwataka wamiliki wa leseni kuhakikisha shughuli za uchimbaji zinawanufaisha watanzania na kulinda maslahi ya taifa. Akizungumza jijini Dodoma kwenye kikao cha wamiliki wa leseni, Kamishna wa Tume ya Madini, Mhandisi Theonestina Mwasha, amesema kipaumbele cha Serikali…

Read Full News