INEC YAZITAKA ASASI ZA KIRAIA KUTOA MAWAZO YATAKAYOEPUSHA DOSARI KWENYE UCHAGUZI
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wawakilishi wa taasisi na asasi za kiraia kuhakikisha wanatoa mawazo ambayo yatasaidia kuepusha dosari ambazo zinaweza kujitokeza na kuathiri utekelezaji wa shughuli za uchaguzi. Akizungumza leo Julai 30, 2025 wakati wa kufungua kikao cha wadau hao,Mwenyekiti wa INEC Jaji wa Rufani…

