GCLA YAWAITA WAJASIRIAMALI WANAOHUSIKA NA KEMIKALI KUJISAJILI SABASABA

MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GGLA) imewataka wajasiriamali wanaojishughulisha na kemikali kufika katika Maonesho ya 49 ya  Kimataifa Biashara Dar es Salaam (DITF) ili kuweza kupata elimu kuhusu kemikali pamoja na kufanya usajili wa bidhaa hiyo Akizungumza Julai 5, 2025 katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi wa…

Read More

WAZIRI RIDHIWANI ATOA WITO KWA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa wito kwa vijana kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo mikopo na mifuko mbalimbali ya uwezeshajiWananchi kiuchumi. Mhe. Kikwete ametoa wito huo wakati alipotembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuuu lililopo katika…

Read More