
SERIKALI YAONGEZA FEDHA ELIMU BURE MKOA WA MARA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI ya awamu ya sita imeongeza fedha za kuwezesha elimu bure katika Mkoa wa Mara kutoka shilingi bilioni 5.6 mwaka 2020 hadi shilingi bilioni 7.5 mwaka wa fedha 2025 kwa shule za msingi na kutoka shilingi bilioni 6 hadi bilioni 12.85 mwaka 2025 kwa shule za Sekondari. Hayo yalisemwa jana jijini…