WACHIMBAJI WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA KEMIKALI
Na Oscar Nkembo,TaboraMkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai, amewataka wachimbaji wa dhahabu kuzingatia usimamizi na matumizi salama ya Kemikali ili kuepukana na madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya za wananchi na mazingira. Mkuu wa Wilaya, Tukai amesema hayo Juni 12, 2026 wakati akifungua mafunzo ya usimamizi na matumizi salama ya Kemikali kwa wachimbaji…

