
DCEA YAVUNJA REKODI UKAMATAJI DAWA ZA KULEVYA 2024
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kupitia operesheni maalum kwa mwaka 2024 imekamata kilogramu 2,327,983.66 za dawa za kulevya ikiwemo kg 448.3 zilizokuwa zimefichwa ndani ya Jahazi lililosajiliwa nchini Pakstani kwa namba B.F.D 16548. Akizungumza jana Januari 9,2025 Kamisha Mkuu wa DCEA,Kamishna Jenerali Aretas Lyimo amesema…