
DK.MWIGULU:TUTAENDELEA KUWACHUKULIA HATUA KALI WANAOTOA MIKOPO ‘KAUSHA DAMU’
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam. SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa taasisi zote zininazotoa huduma za fedha kinyume cha sheria kwa kutoa mikopo umiza (kausha damu) na kuwakandamiza wananchii. Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 10,2024 limetolewa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba,wakati akizindua Jukwaa la kwanza…