WACHIMBAJI WA SHABA WAASWA KUJIUNGA VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAENDELEO

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WACHIMBAJI wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo shaba. Wito huo umetolewa na Mhandisi Chacha Megewa kutoka Tume ya…

Read More

TAMWA YALAANI MASHAMBULIZI VIONGOZI WANAWAKE MITANDAONI

Na Aziza Masoud Dar es Salaam  CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kimesema kinalaani vikali aina yoyote ya mashambulizi ya kijinsia dhidi ya wanawake  hasa viongozi wa kisiasa kupitia mitandao ya kijamii. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 27, 2025,Mwasisi wa TAMWA Halima Sharif katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokutanisha wanachama wa chama hicho…

Read More

WACHIMBAJI WADOGO DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA WA UTUNZAJI WA MIGODI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WACHIMBAJI wadogo kutoka migodi ya shaba iliyopo katika Mkoa wa Dodoma wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu usalama mahali pa kazi, afya, utunzaji wa mazingira na usimamizi wa shughuli za uchimbaji. Mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha uchimbaji salama na endelevu nchini. Mafunzo hayo yamewahusisha wachimbaji kutoka Mgodi wa Shengde uliopo Nala,…

Read More