DAWASA, MADIWANI WAJA NA SULUHUSHO CHANGAMOTO YA MAJI UBUNGO
Na Mwamdishi Wetu,Dar es Salaam MADIWANwa Manispaa ya Ubungo wamekubaliana kwa kauli moja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), wamekubaliana kutafuta suluhu ya changamoto zinazowakabili wananchi na kuweka mikakati itakayosaidia kuimarisha upatikanaji huduma za Maji. Katika kikao hicho kilichoongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Lawrence Mlaki,…

