TCAA YAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI KWA KUSHIRIKI MBIO ZA MARATHON UDSM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) imetumia  Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) kushiriki katika mbio za Marathon zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Mbio hizo zilizoongozwa  na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, zilihudhuriwa pia na Rais mstaafu wa awamu ya nne…

Read Full News

TCAA INAVYOENDELEA KUPAMBANA NA UHABA WA MARUBANI WAZAWA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam TAKRIBANI vijana 23 wamepata udhamini wa kusomea masomo ya urubani kupitia Mfuko wa Mafunzo wa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania  (TCAA Training Fund)  huku wanne kati yao  na  wameshaajiriwa  na mashirika mbalimbali ya ndege yaliyopo nchini.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA),Salim Msangi ametoa takwimu hizo jana wakati  akitoa taarifa kwa vyombo…

Read Full News

 MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI

Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo katika eneo la Mikereng’ende, Songas, Somanga na Matandu-Nangurukuru ambayo yalikatika kutokana na mvua zilizonyesha na kuambatana na Kimbunga Hidaya. Juzi tarehe 9…

Read Full News

TANAPA yang”ara tuzo za umahiri – Mawasiliano

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Public…

Read Full News

MDAU WA MAENDELEO NDUGU JOSEPH MUSHI AIKOSHA CCM

Na Ashrack Miraji (Same) Kilimanjaro Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafii amesema amefurahishwa na kitendo cha Joseph Mushi kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania kwa kujenga zahahati Kibosho itakayokuwa msaada kwa wananchi hao. Hayo ameyasema Jana Machi 25,2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro,Patrick Boisafi Wakati akikata utepe…

Read Full News