
WATENDAJI WA INEC WAJITENGA NA VYAMA VYA SIASA, WALA KIAPO CHA UADILIFU TABORA
Na Mwandishi Wetu,Tabora WATENDAJI wa vituo wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), wanaoshiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, leo Aprili 29, 2025 wamekula kiapo na kuweka wazi msimamo wao kwa kutoa tamko la kujitoa uanachama wa vyama vya siasa au kutangaza kutokuwa wanachama wa chama chochote cha…