VIJANA WAUNGANA NA RAIS DK.SAMIA KUSHEREKEA ‘BIRTHDAY ‘

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAKATI Rais Dk.Samia Suluhu Hassan leo Januari 27  akisherekea kutimiza miaka 66 tangu kuzaliwa kwake,vijana wa maeneo mbalimbali waliopo jijini Dar es Salaam wamekusanyika pamoja ili  kusherekea siku hiyo kwakuelezea mambo mbalimbali anayoendelea kuyafanya kwa wananchi hasa vijana katika uongozi wake. Akizugumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bora…

Read More

WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TAASISI ZAKE KWA KAMATI YA BUNGE

Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzanva (Mb) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ubunifu wake katika sekta ya uhifadhi na utalii, ubunifu uliosababisha ongezeko kubwa la watalii na mapato ya Serikali. Pongezi hizo zimetolewa baada ya Kamati kupokea…

Read More

REA YASAINI MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 9,009

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKIALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.2 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vitongoji 9,009 utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara. Akizungumza katika hafla hiyo leo, Januari 17, 2026 Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi…

Read More