BALOZI OMAR: SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA JAMII
Na Benny Mwaipaja, Tanga SERIKALI imeahidi kutoa shilingi Milioni 750 ili kukamilisha ujenzi wa majengo yaliyosalia katika Kituo kipya cha Afya Kange, kilichopo katika kata ya Maweni, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha huduma za afya kwa wananchi katika kata hiyo. Ahadi hiyo imetolewa leo na Waziri wa Fedha, Mhe….

